[caption id="attachment_47423" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Alphayo Kidata wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mtwara ambako alikuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani yaliyofanyika Kitaifa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona. Oktoba 1, 2019[/caption]
[caption id="attachment_47424" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) na...
Read More