[caption id="attachment_52727" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Waajiri na Vijana wanufaika wa Mafunzo ya Vitendo sehemu za Kazi “Internship Training” alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua mafunzo wanayopatiwa vijana hao na waajiri, Mkoani Iringa.[/caption]
Na. Mwandishi Wetu - Iringa
Vijana wahitimu wa Vyuo vya elimu ya juu zaidi ya 3,200 nchini wamenufaika na Mafunzo ya vitendo mahala pa kazi “Inter...
Read More