[caption id="attachment_53371" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Azzan Zungu (Kulia) akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira wakati alipofanya ziara katika kiwanda cha Ocean Alluminium,Dar es Salaam.[/caption]
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. Mussa Azzan Zungu ametembelea kiwanda cha Ocean Alluminium kilichopo Tabata – Matumbi kinachozalisha Sufuria ili kujionea uendeshwaji wa kiwanda hicho...
Read More