Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) akizungumza wakati wa kikao baina yake na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWT, Luteni Jenerali Mathew Mkingule (kushoto) wakati wa mazungumzo ya kuboresha ushirikiano kwenye sekta ya michezo baina ya jeshi na Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi za Idara ya Hbari Maelezo jijini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa amekutana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi...
Read More