Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Hamisi Kohomin ambaye ni Mhasibu wa Kampuni ya kuchenjua madini ya Bati ya African Top Minerals ya Kyerwa Mkoani Kagera, Septemba 20, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa ameshika mawe yenye madini ya Bati wakati alipokagua mitambo ya kampuni ya kuchenjua madini ya Bati ya African Top Minerals iliyopo Kyerwa Mkoani Kagera, Septemba 20 2021. Kulia ni Mhasibu wa Kampuni hiyo, Hamisi Kohomin
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakipata maelezo kuhusu madini ya Bati k...
Read More