Viongozi wa Wizara wakiongozwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa na katibu Mkuu wake Dkt. Hassan Abbasi wakishangilia ushindi wa timu ya Tembo Warrior kufuzu kuingia Kombe la Dunia Oktoba 2022 nchini Uturuki.
Na. John Mapepele
Waziri mwenye dhamana ya Michezo nchini, Mhe, Innocent Bashungwa leo Disemba 1, 2021 amewaongoza watanzania kuishangilia Timu ya Tanzania (Tembo Warriors) ambayo imefuzu na kuwa timu ya kwanza miongoni mwa timu nne zinazoingia nusu fainali ya Soka ya Bara la Afrika kwa &...
Read More