-Kituo cha Uwekezaji chaanzishwa-Maboresho ya Sera za kuvutia Uwekezaji-Uwepo wa Wawekezaji wengi wa ndani na nje ya nchi.
Na Beatrice Sanga - MAELEZO
Baada ya Tanzania kupata Uhuru Mwaka 1961, Sera za Uwekezaji za Tanzania Bara zilihamasisha uwekezaji wa sekta binafsi, ikiwa ni ni pamoja na kutunga Sheria ya Kuhamasisha Uwekezaji wa Kutoka Nje ya nchi (Foreign Investment Protection Act), ya Mwaka 1963 hadi ilipofika mwaka 1967 ilipotangaza Azimio la Arusha ambapo Serikali ilisimamia na kuendesha shughuli kuu za uzalishaji, na kusababish...
Read More