Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde akitoa maelekezo ya namna ya kutatua mgogoro kati ya Kikundi cha Isunda (wamiliki wa leseni), wamiliki wa mashamba na wamiliki wa maduara katika kijiji cha Busulwagili, wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, leo Aprili 14, 2026, katika ukumbi wa Tanzanite, Makao Makuu ya Madini, Dodoma
Read More