Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Habari Katika Picha: Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Kichocheo cha Uchumi wa Taifa
Apr 20, 2026
Habari Katika Picha: Uwanja wa Benjamin Mkapa ni Kichocheo cha Uchumi wa Taifa
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema Uwanja wa Benjamin Mkapa umekua unachochea mzunguko wa uchumi wa wananchi wa Temeke na Taifa kwa ujumla kupitia matukio ya kitaifa na Kimataifa ya kimichezo na kijamii yanayofanyika uwanjani hapo. Amesema hayo wakati akijibu swali la Mhe. Mariam Nassoro Kisangi leo Aprili 20, 2026 Bungeni jijini Dodoma, ambapo amesema, kuwepo kwa uwanja huo katika Manispaa ya Temeke, kumeifanya kuwa kitovu cha michezo kitaifa na kimataifa na kuongeza heshima kwa nchi.
Na Administrator

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi