Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Amaliza Ziara Wilayani Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua ujenzi wa shule ya msingi Ng’au, iliyopo kata ya Mnacho Wilayani Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mipira miwili na jezi Meneja wa timu ya Namungo FC Fred Kimbi, katika Mkutano wa hadhara uliyofanyika katika kata ya Mbekenyera, Wilayani Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa shule ya msingi Ng’au, katika kata ya Mnacho, Wilayani Ruangwa, alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja Wilayani Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Shule ya msingi Ng’au iliypo Wilayani Ruangwa, Daniel Chilemba kwa kusimamia ujenzi kikamilifu, wakati alipoenda kukagua ujenzi wa shule.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa LIndi, Godfrey Zambi,akiwa anaelekea Dodoma, Waziri Mkuu alikuwa na ziara ya kikazi ya siku moja Wilayani Ruangw. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

156 thoughts on “Waziri Mkuu Amaliza Ziara Wilayani Ruangwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama