Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ziara ya Rais Dk Shein Wilaya ya Mjini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiangalia Ngoma ya Mwandege iliyochezwa na Watoto wakati wa Mapokezi yake mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara ya Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(pichani) akipeana Mkono na Waziri Kiongozi Mstaafu Mhe. Shamsi Vuai Nahodha.

Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwemo Wabunge na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati wa Utoaji wa Taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.

Baadhi ya watendaji mbali mbali wakiwemo Wazee na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati wa Utoaji wa Taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) iliyoanza leo kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi kutoka Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja leo alipoanza ziara yake katika Wilaya ya Mjini kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali baada ya kupoea taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati alipoanza ziara yake katika Wilaya ya Mjini Unguja kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokuwa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Viti Maalum CCM Bi. Asha Abdalla Juma nje ya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Mjini Unguja wakati alipoanza ziara yake leo katika Wilaya ya Mjini Unguja kwa kutembelea Miradi mbali mbali ya Maendeleo. (Picha na: Ikulu)

186 thoughts on “Ziara ya Rais Dk Shein Wilaya ya Mjini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama