Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wizara ya Ujenzi Yatoa Elimu Sheria Mpya Udhibiti wa Uzito wa Magari

Baadhi ya washiriki wakiwa katika kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017. Kikao hiki kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda ya Mashariki iliyojumuisha mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.

Msimamizi wa Mizani za Mkoa wa Pwani, Charles Ndyetabula, akichangia mada wakati wa kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017. Kikao hiki kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda ya Mashariki iliyojumuisha mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.

Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), kupitia Kitengo cha Usalama na Mazingira, Mhandisi Julius Chambo, akiandika maoni ya washiriki katika kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017, mkoani Morogoro.

Mkurugenzi wa Usalama na Mazingira kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), kupitia Kitengo cha Usalama na Mazingira, Mhandisi Julius Chambo, (wa tatu kushoto waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao kazi cha utoaji Elimu juu ya Sheria mpya ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashiriki (2016) na Kanuni zake za mwaka 2017. Kikao hiki kimefanyika mkoani Morogoro na kuhusisha Kanda ya Mashariki iliyojumuisha mikoa ya Dar es salaam, Pwani na Morogoro.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama