Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mwijage Ziarani Mkoani Geita

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akiwa katikla eneo litakalojengwa Viwanda (Sheds) kwa ajili ya mafunzo za uzalishaji bidhaa kwa wajasiriamali Mkoani Geita.

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akiwa katika eneo litakalojengwa Viwanda (Sheds) kwa ajili ya mafunzo za uzalishaji bidhaa kwa wajasiriamali Mkoani Geita.

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akikagua eneo litakalojengwa Viwanda (Sheds) kwa ajili ya mafunzo za uzalishaji bidhaa kwa wajasiriamali Mkoani Geita.

 Mkurugenzi Idara ya Viwanda vidogo na Biashara ndogo, Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Consolatha Ishebabi akizungumza katika eneo la mradi patakapojengwa (sheds) Chato Mkoani Geita.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) Prof. Sylvester Michael Mpanduji, akizungumza wakati wa kikao na wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano huo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita.

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kufika katikla eneo litakalojengwa Viwanda Chato Mkoani Geita.

 Wananchi wa Chato Mkoani Geita wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage (Hayupo pichani) wakati wa makabidhiano ya eneo la ujenzi wa Viwanda vidogo lenye ukubwa wa Ekari 20.

180 thoughts on “Waziri Mwijage Ziarani Mkoani Geita

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama