Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mwakyembe azindua Tamasha la Ngoma za Asili za Jamhuri ya Korea.

Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini Mhe. Song,Geum-young akizungumza na washiriki wa Tamasha la Ngoma za asili za nchi hiyo (hawapo pichani) jana Jijini Dar es Salaam.

 

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.

 

Wasanii kutoka Jamhuri ya Korea wakionesha moja ya ngoma za aslili za nchi hiyo wakati wa Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya watazamaji kutoka Jamhuri ya Korea na Tanzania wakifuatilia ngoma mbalimbali zilizokuwa zikioneshwa katika Tamasha la Ngoma za asili za Jamhuri ya Korea jana Jijini Dar es Salaam.

33 thoughts on “Waziri Mwakyembe azindua Tamasha la Ngoma za Asili za Jamhuri ya Korea.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama