Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mwakyembe Aungana na Mashabiki wa Mpira Uwanja wa Jamhuri Morogoro

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kulia) akipokelewa na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro Mhe. Paschal Kihanga alipowasili katika uwanja wa mpira wa miguu wa Morogoro kuangalia mechi ya Ligi daraja ya pili kati ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akisalimiana na mchezaji kutoka timu ya Bukinafaso ya Morogoro kabla ya mechi kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro

Wachezaji wa timu ya Ihefu kutoka Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mechi kati ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro

Wachezaji wa timu ya Ihefu kutoka Mbeya pamoja na wachezaji wa timu ya Bukinafaso ya Morogoro wakionyesha umahiri wao uwanjani wakati wa mechi ya Ligi daraja la pili jana Mkoani Morogoro

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (wapili kushoto) akifuatilia mechi kati ya timu ya Bukinafaso ya Morogoro na Ihefu ya Mbeya jana Mkoani Morogoro. (Picha na: Genofeva Matemu – WHUSM)

64 thoughts on “Waziri Mwakyembe Aungana na Mashabiki wa Mpira Uwanja wa Jamhuri Morogoro

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama