Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mwakyembe Ashuhudia Stand United Ikipata Udhamini wa BIKOSPORTS

Mbunge wa Shinyanga Mjini Steven Masele akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) Wilfred Kidau akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.

Mwakilishi toka Bodi ya Michezo ya kubahatisha Kabora Mboya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha ya BIKO Charles Lugeta akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye suti) akimkabidhi jezi Mwenyekiti wa Klabu ya Stand United Charles Lugeta ikiwa ni sehemu ya ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa tatu toka kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni mia moja Mwenyekiti wa Klabu ya Stand United Charles Lugeta ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO. (Picha na Eliphace Marwa)

92 thoughts on “Waziri Mwakyembe Ashuhudia Stand United Ikipata Udhamini wa BIKOSPORTS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama