Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mwakyembe Akutana na Ujumbe wa Wataalamu Kutoka Morocco kwa Ajili ya Shughuli za Awali za Ujenzi wa Eneo Changamani la Michezo Mkoani Dodoma.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe wa wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo .Kushoto kwa Waziri ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dk.Harrison Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Morocco waliofika Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuanza shughuli za awali za ujenzi wa eneo changamani la Michezo.Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Michezo wa Wizara hiyo Bw.Yusuph Singo na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bw.Petro Lyatuu.Picha zote na Daudi Manongi..

129 thoughts on “Waziri Mwakyembe Akutana na Ujumbe wa Wataalamu Kutoka Morocco kwa Ajili ya Shughuli za Awali za Ujenzi wa Eneo Changamani la Michezo Mkoani Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama