Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mwakyembe Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini

 

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichoanza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi, 2018 Jijini Arusha.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi akizungumza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Gabriel Daqqaro akuzungmza na Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakati wa ufunguzi mkutano wa 14 wa kikao kazi cha Maafisa hao kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia jambo na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini , Alvaro Rodriguez wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Elishilia Kaaya mara wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akimkabidhi cheti cha shukrani ya udhamini wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini, Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jimmy Yonas wakati wa kutoa vyeti kwa wadhamini wa kikao kazi hicho kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Dkt Jimmy Yonas akizungumza jambo na aliyekuwa kuwa Katibu wa Hayati Baba wa Taifa, Mzee Kasoli wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 14 wa Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichaonza leo Jumatatu tarehe 12-16 Machi,2018 Jijini Arusha.

Baadhi ya Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano Serikalini wakipata maelekezo kuhusu taratibu mbalimbali za usajili katika mkutano wa 14 wa kikao kazi chao kilichoanza leo Jumatatu Machi 12-16 Jijini Arusha.

 

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Rodney Thadues akimwongoza Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) Alvaro Rodriguez kuelekea katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano huo leo Jumatatu Machi 12, 2018 katika ukumbi wa kituo cha Mikutano cha Kimataifa wa Arusha

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifurahia burudani kutoka kwa Kikundi cha Mrisho Mpoto mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC Arusha kwa ajili ya kufungua kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqaro.

144 thoughts on “Waziri Mwakyembe Afungua Kikao Kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama