Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mwakyembe Afanya Mazungumzo na Amnesty International Kuhusu Sekta ya Habari

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (Kushoto ) akizungumza leo ofisini kwake Jijini Dodoma na Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki kuhusu Sekta ya Habari hususani Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.

Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bw.Roland Ebole (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe (katikati) kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma. Kulia ni Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki

 

Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International Bibi Joan Nyanyuki (Kulia) akizungumza leo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe ofisini kwa Mhe.Waziri Jijini Dodoma kuhusu Sekta ya Habari hususan Wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.

 

 

30 thoughts on “Waziri Mwakyembe Afanya Mazungumzo na Amnesty International Kuhusu Sekta ya Habari

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama