Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizungumza wakati alipokuwa akipokea ripoti ya tathmini ya utendaji ya Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizungumza wakati alipokuwa akipokea ripoti ya tathmini ya utendaji ya Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti na Usimamizi wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Balozi Matern Lumbanga akiwasilisha ripoti ya tathmini ya utendaji wa PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18, leo jijini Dodoma.Kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi. Ayoub Kisuwi.

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa ununuzi wa Umma (PPRA) wakifuatilia ripoti ya tathmini ya utendaji wa PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18, leo jijini Dodoma.

Baadhi ya watendaji kutoka Wizara ya Fedha na Mipango wakifuatilia kikao baina ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (hayupo pichani) na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) leo jijini Dodoma.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akizindua ripoti ya tathmini ya utendaji ya Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma.Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA Balozi Matern Lumbanga.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango(mwenye tai nyekundu) akiteta jambo na wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) mara baada ya kupokea ripoti ya ripoti ya tathmini ya utendaji ya PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA Balozi Matern Lumbanga.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) na Menejimenti ya PPRA mara baada ya kupokea ripoti ya ripoti ya tathmini ya utendaji ya PPRA kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo jijini Dodoma. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO)

One thought on “Waziri Mpango Apokea Ripoti Tathmini ya Utendaji wa PPRA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama