Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Mkutano wa Tano wa Wadau wa Lishe

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa(watatu kulia) akishiriki kuimba wimbo wa Taifa alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Tano wa wadau wa Lishe leo jijini Dodoma.Kutoka kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijiga,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Ajira. Vijana na Wenyeulemavu, Jenista Muhagama, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma na Dkt. Binilth Mahenge.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa hafla ya kufungua mkutano wa tano wa wadau wa lishe wa kujadili na kutathmini utekelezaji wa afu za lishe leo jijini Dodoma. Mkutano huo unakauli mbiu ya “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu”.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa hafla ya kufungua mkutano wa tano wa wadau wa lishe wa kujadili na kutathmini utekelezaji wa afu za lishe leo jijini Dodoma. Mkutano huo unakauli mbiu ya “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu”.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Benilith Mahenge akizungumza wakati wa hafla ya kufungua mkutano wa tano wa wadau wa lishe wa kujadili na kutathmini utekelezaji wa afu za lishe leo jijini Dodoma. Mkutano huo unakauli mbiu ya “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu”.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNC), Dkt. Vicent Asey akizungumza wakati wa hafla ya kufungua mkutano wa tano wa wadau wa lishe wa kujadili na kutathmini utekelezaji wa afu za lishe leo jijini Dodoma. Mkutano huo unakauli mbiu ya “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu”.

Mwakilishi wa kundi la vijana wa Rika Balehe ambaye pia ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Notre Dame ya jijini Arusha, Bi. Najma Mohamed akiwasilisha maoni yao kuhusu masuala ya lishe mbele wakati wa hafla ya kufungua mkutano wa tano wa wadau wa lishe wa kujadili na kutathmini utekelezaji wa afu za lishe leo jijini Dodoma. Mkutano huo unakauli mbiu ya “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu”.

Mtaalamu wa Lishe kutoka UNICEF, Mauro Brero akichangia mada wakati wa hafla ya kufungua mkutano wa tano wa wadau wa lishe wa kujadili na kutathmini utekelezaji wa afu za lishe leo jijini Dodoma. Mkutano huo unakauli mbiu ya “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu”.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Lishe, Mhe. Amina Makilagi akichangia mada wakati wa hafla ya kufungua mkutano wa tano wa wadau wa lishe wa kujadili na kutathmini utekelezaji wa afu za lishe leo jijini Dodoma. Mkutano huo unakauli mbiu ya “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu”.

Baadhi ya wawakilishi wa kundi la Rika Balehe wakifuatilia hafla ya kufungua mkutano wa tano wa wadau wa lishe wa kujadili na kutathmini utekelezaji wa afu za lishe leo jijini Dodoma. Mkutano huo unakauli mbiu ya “Kuelekea Uchumi wa Viwanda: Lishe Bora ni msingi wa maendeleo yetu”.

Mwakilishi wa kundi la vijana wa Rika Balehe ambaye pia ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Notre Dame ya jijini Arusha, Bi. Najma Mohamed akipokea tuzo kutoka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kwa niaba ya Halamshauri ya Jiji la Arusha kutokana na kuwa wadau wa masula ya lishe wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tano wa wadau wa Lishe leo jijini Dodoma. (Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)

78 thoughts on “Waziri Mkuu Majaliwa Afungua Mkutano wa Tano wa Wadau wa Lishe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama