Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Majaliwa Afanya Mazungumzo Rasmi na Rais Xi Jinping

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa China, Xi Jinping (wapili kushoto) kwenye ukumbi wa Great Hall of the People uliopo Beijing nchini China, Septemba 6, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakitoka ndani ya ukumbi wa Great Hall of the People uliopo Beijing nchini China baada ya mazungumzo yake na Rais wa China, Xi Jinping Septemba 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama