Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua Jengo la Tanesco Mkoa wa Ruvuma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, wakati alipowasili kwenye Mradi wa ujenzi wa Kituo cha kupoozea umeme, eneo la Unanga, katika Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joyce Mndeme na kulia ni Meneja Mradi Didas Lyamuya.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi katika Mradi wa Kituo cha kupoozea umeme, eneo la Unanga, katika Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Januari 7, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Kituo cha kupoozea umeme, katika eneo la Unanga, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, kushoto ni Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Kituo cha kupoozea umeme, katika eneo la Unanga, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, kushoto ni Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na wananchi, baada ya kuzindua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tanesco Mkoa wa Ruvuma, lililopo katika Wilaya ya Songea Mjini, Mkoani Ruvuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

110 thoughts on “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Azindua Jengo la Tanesco Mkoa wa Ruvuma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama