Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awasili Tokea Miri

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini Misri alipokua kwenye ziara ya kikazi ya siku tatu. Kulia ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Ngalayainisi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

One thought on “Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Awasili Tokea Miri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama