Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Atembelea Eneo la Ajali ya Kivuko Katika Kisiwa cha Ukara Mwanza

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela (katikati) na Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo kuelekea katika eneo kilipozama Kivuko cha MV Nyerere katika kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe, Septemba 21, 2018. Kivuko hicho kinatoa huduma kati ya Kisiwa cha Ukara ba JKisiwa cha Bugorola. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama eneo kilipozama Kivuko cha Mv Nyerere kinachotoa huduma kati ya kisiwa cha Ukara na Bugorola wilayani Ukerewe wakati alipowasili kwenye kisiwa cha Ukara kujionea shughuli za uokoaji Septemba 21, 2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama