Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika picha Bungeni.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Novemba 16, 2017. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani Bungeni mjini Dodoma Novemba 16, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Aldersgate ya mjini Babati ambao walitembelea Bunge Mjini Dodoma kwa lento la kujifunza Novemba 16, 2017. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Ibuaga wilayani Kongwa ambao walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao Spika wa Bunge, Job Ndugai Novemba 16, 2017. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Umoja wa Vijana wa CCM wa mkoa wa Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 16, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchuo wa Chuo Kikuu cha Saint John cha mjini Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mini Dodoma Novemba 16, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

131 thoughts on “Matukio ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika picha Bungeni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama