Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Bungeni Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Mbunge wa Vunjo James Mbatia, Bungeni Mjini Dodoma Julai 03, 2017.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, George Simbachawene, Bungeni Mjini Dodoma Julai 03, 2017.(Picha na: Ofisi ya Waziri Mkuu)

48 thoughts on “Waziri Mkuu Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama