Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Awataka Watanzania Kuimarisha Uzalendo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (katikati) akiongea na wanafunzi wanao somea fani ya Udaktari nchini Cuba  katika Hotel ya Nacional de Cuba jana August 20/2017. Pamoja na mambo mengine, Waziri Mkuu aliwataka Wanafunzi hao kuwa wazalendo kwa nchi yao. Kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Cuba, Bwana Goodchance Tarimo na kulia ni Ofisa wa  Ubalozi wa Tanzania nchini Canada na Cuba, Bwana Leonce Bilauri.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi Wakitanzania wanaosomea fani ya Udaktari Nchi Cuba. Waziri Mkuu yupo Havana Cuba kwa ziara ya Kikazi.

(Picha na Ofice ya Waziri Mkuu)

30 thoughts on “Waziri Mkuu Awataka Watanzania Kuimarisha Uzalendo

Leave a Reply to tinder dating Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama