Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Awataka Viongozi Wabadilike Kimtazamo

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Luteni Jenerali, Paul Massao, akizungumza na washiriki, kwenye ufunguzi wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, Agosti 13.2018

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi, akizungumza na washiriki, kwenye ufunguzi wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam leo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya tai, kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Luteni Jenerali, Paul Massao, baada ya kufungua kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya peni, kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Luteni Jenerali, Paul Massao, baada ya kufungua kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam. Agosti 13.2018

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme, baada ya ufunguzi wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Agosti 13.2018, katikati ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama (JWTZ), Jenerali Venance Mabeyo, baada ya ufunguzi wa kozi fupi ya tano ya Viongozi, inayofanyika katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Agosti 13.2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

227 thoughts on “Waziri Mkuu Awataka Viongozi Wabadilike Kimtazamo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama