Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Awasili Nchini Misri Kwenye Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Moustafa Madbuoly wakati akiwasili mjini Cairo Misri kwa ziara ya kikazi ya siku tatu nchini humo, Julai 8.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Moustafa Madbuoly baada ya kuwasili mjini Cairo Misri kwa ziara ya kikazi ya siku tatu, Julai 8.2019.

47 thoughts on “Waziri Mkuu Awasili Nchini Misri Kwenye Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama