Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Asoma Hotuba ya Kuahirisha Bunge

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge, jijini Dodoma Juni 29, 2018.

Bendi ya JKT Makutupora ikiongoza Wimbo wa Taifa wakati Bunge lilipoahirishwa jijini Dodoma Juni 29, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi baada ya Bendi ya JKT Makutopora kuongoza Wimbo wa Taifa wakati wa kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge jijini Dodoma Juni 29, 2018. Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Madini, Angela Kairuki, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mahagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge jijini Dodoma Juni 29, 2018.

295 thoughts on “Waziri Mkuu Asoma Hotuba ya Kuahirisha Bunge

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama