Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Ashiriki Mazishi ya Mke wa Waziri Mwakyembe

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la Maua kwenye  kaburi la  Linah George Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika leo Kyela Mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu, Linah George  Mwakyembe, mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe katika mazishi yaliyofanyika leo Kyela Mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa  akimfariji Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe kufuatia kifo cha Mke wake Linah George Mwakyembe. Mazishi walifanyika leo huko  Kyela Mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt.  Harisson Mwakyembe pamoja na familia yake wakiwa pamoja na waombolezaji wakati wa Ibada ya ya mazishi ya mkewe, Linah George Mwakyembe yaliyofanyika leo Kyela Mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili nyumbani kwa Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe  kushiriki katika mazishi ya mke wa Waziri huyo, Linah George Mwakyembe yaliyofanyika leo Kyela Mkoani Mbeya.  Kulia ni  mkewe Mary (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

72 thoughts on “Waziri Mkuu Ashiriki Mazishi ya Mke wa Waziri Mwakyembe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama