Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio ya Waziri Mkuu Katika Picha Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na mkurugenzi wa taasisi ya African Relief Organization, Wakati akipokea cherehani ikiwa ni sehemu ya vyerehani 25 vya msaada, zilizo tolewa kwa Wananchi wa Ruangwa kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Septemba 9, 2017, (kulia) ni Mratibu wa miradi wa African Relief Organization Bw. Khamis Mkanachi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza Mwananchi wa Wilaya ya Ruangwa Bw. Anzigar Kambanga, wakati alipoenda kumjulia hali katika Taasisi ya Jakaya Kikwete, iliyopo Muhimbili.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mbunge wa Newala Vijijini, Razak Rashid Akbar, wakati alipoenda kumjulia hali katika Taasisi ya Jakaya Kikwete, iliyopo Muhimbili.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

84 thoughts on “Matukio ya Waziri Mkuu Katika Picha Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama