Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Afungua Mkutano Mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na watumishi wa Benki ya NMB, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo, Wakati na Kilimo wa Benki ya NMB, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja wa Mahusiano ya Serikali Benki ya NBC, William Kallaghe, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasikiliza watumishi wa Benki ya CRDB, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB (kulia), Boma Raballa, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019. Kushoto ni Mwenyekiti wa ALAT Taifa, Gulamhafeez Abubakar Mukadam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, Waziri Mkuu amemwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

167 thoughts on “Waziri Mkuu Afungua Mkutano Mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT)

Leave a Reply to bfnfjhTrifs Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama