Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo na Balozi wa Palestina na Japan

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Palestina nchini Hamdi Abuali, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Hamdi Abuali, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Shinichi Goto, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Shinichi Goto, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018.

130 thoughts on “Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo na Balozi wa Palestina na Japan

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama