Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mhagama Akutana na Mwenyekiti Mshauri wa Asasi ya International Youth Fellowship

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), walipomtembelea hii leo Oktoba 25, 2018 Jijini Dodoma.

Mwenyekiti Mshauri wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), Richard Hong (wa pili kutoka kulia) akimweleze jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kuhusiana na asasi hiyo inavyotoa elimu ya ufahamu kwa vijana wa Tanzania.

Mchungaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), Bang akimwelezea jambo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama kuhusu mafunzo wanayotoa ya kuwajengea uwezo vijana.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa kwanza kushoto) akiagana na Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma, Oktoba 25, 2018.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Asasi ya International Youth Fellowship (IYF), walipo mtembelea ofisini kwake Bungeni Dodoma, leo Oktoba 25, 2018. (Kushoto) ni Mwenyekiti Mshauri wa Asasi hiyo Mch. Richard Hong, (Kulia) ni Katibu wa International Youth Fellowship (IYF), Mch. Levin Mwakidedi na Mch. Bang. (Picha Zote na: Ofisi Ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira Na Wenye Ulemavu)

37 thoughts on “Waziri Mhagama Akutana na Mwenyekiti Mshauri wa Asasi ya International Youth Fellowship

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama