Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Makamba Azindua Kamati ya Taifa ya Ushauri wa Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akifungua kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Mazingira hii leo katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma. Kikao hicho kinajumuisha wakumbe kutoka sekta mbalimbali. Wengine katika picha ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Butamo Phillip na Katibu Mkuu Mhandisi Joseph Malongo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akimkabidhi vitendea kazi mmoja ya wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Mazingira hii leo katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Butamo Phillip na Bw. Richard Muyungi Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Ushauri wa Mazingira mara baada ya ufunguzi uliofanyika katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. (Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – OMR)

66 thoughts on “Waziri Makamba Azindua Kamati ya Taifa ya Ushauri wa Mazingira

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama