Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mahiga afungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wananchama wa Jumuiya ya Utatu wa COMESA-EAC-SADC (TRIPARTITE)

Waziri wa Maombo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Agustine Mahiga akiongoza mkutano wa kwanza wa Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya miundombinu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Utatu wa COMESA-EAC-SADC (TRIPARTITE) leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Agustine Mahiga(watatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri wenye dhamana ya masuala ya miundombinu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Utatu wa COMESA-EAC-SADC (TRIPARTITE) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri hao leo Jijini Dar es Salaam.

4 thoughts on “Waziri Mahiga afungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wananchama wa Jumuiya ya Utatu wa COMESA-EAC-SADC (TRIPARTITE)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama