Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Kabudi Aongoza Kumbukumbu za Wataalam wa Kichina Waliofariki Wakati wa Ujenzi Reli ya TAZARA

Prof. Palamagamba John Kabudi akihutubia katika hafla hiyo mara baada ya kumaliza zoezi la kuweka maua kwenye makaburi ya wataalam wa kichina waliofariki wakati wa ujenzi wa reli ya TAZARA. Katika Hotuba hiyo waziri Kabudi aliendelea kuusifu ushirikiano wa Tanzania na China katika sekta mbalimbali ambapo Ujenzi wa reli hiyo ulipelekea kuanzishwa kwa viwanda mbalimbali.

Prof. Palamagamba pamoja na Mhe. Wang Ke wakiweka maua katika moja ya kaburi la wataalam hao.

Prof. Palamagamba John Kabudi akiweka saini kwenye kitabu cha kumbukumbu ya vifo vya wataalam hao.

14 thoughts on “Waziri Kabudi Aongoza Kumbukumbu za Wataalam wa Kichina Waliofariki Wakati wa Ujenzi Reli ya TAZARA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama