Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri biteko akutana na kampuni ya Tanzaplus

Waziri wa Madini, Doto Biteko (kushoto) akizungumza na watendaji wa kampuni inayojishughulisha na uyeyushaji wa madini ya bati katika wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ya Tanzaplus. Waliokaa kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Madini, Augustine Ollal, na Upendo Fatukubonye na Hamis Mhando ambao ni watendaji kutoka kampuni ya Tanzaplus.

 

Mkurugenzi kutoka kampuni ya Tanzaplus, Hamis Mhando (kulia) akielezea jinsi teknolojia ya mfumo wa usimamizi wa uzalishaji, usafirishaji na uuzaji wa madini inavyofanya kazi.

Waziri wa Madini, Doto Biteko akisisitiza jambo katika kikao hicho.

Wataalam kutoka Wizara ya Madini wakinukuu maelekezo mbalimbali yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Madini, Doto Biteko (hayupo pichani)

2 thoughts on “Waziri biteko akutana na kampuni ya Tanzaplus

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama