Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Washiriki wa Mafunzo ya PlanRep Wafurahia Ufanisi Wake

Mwakilishi wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI na Muwezeshaji kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Bw. Jeremiah Mtawa akielezea namna mfumo huo unavyotumika katika sekta ya afya leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ambapo imewashirikisha watumiaji wa mfumo huo kutoka katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Muwezeshaji wa Kitaifa kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Mkama Lugina akielezea jambo wakati wa semina kwa watumiaji wa mfumo huo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ambapo imewashirikisha watumiaji wa mfumo huo kutoka katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Katibu wa Afya wa Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza na Muwezeshaji wa Kitaifa katika semina kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) Bi. Glory Mollel akifafanua jambo wakati wa semina kuhusu mfumo huo inayoendelea Jijini Mbeya leo. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ambapo imewashirikisha watumiaji wa mfumo huo kutoka katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Baadhi ya washiriki wa semina kuhusu Mfumo mpya wa Uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Serikali za Mitaa (PlanRep) wakifuatilia mada wakati wa semina hiyo leo Jijini Mbeya. Semina hiyo imeandaliwa na USAID/Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) ambapo imewashirikisha watumiaji wa mfumo huo kutoka katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO, Mbeya

101 thoughts on “Washiriki wa Mafunzo ya PlanRep Wafurahia Ufanisi Wake

Leave a Reply to https://azhydroxychloroquine.com Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama