Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wajumbe wa Kamati Kuu ya TFF Wametakiwa Kuchagua Viongozi Waadilifu na Waaminifu Kuendeleza Soka Nchini.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto mwenye miwani) akipokelewa na viongozi alipowasili katika Ukumbi wa St. Gasper kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) leo Mkoani Dodoma.

Kaimu Rais wa TFF Ndg. Wallace Karia akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu leo katika ukumbi wa St. Gasper Mkoani Dodoma.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na wajumbe wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) (hawapo pichani) alipokua akifungua Mkutano Mkuu wa TFF leo Mkoani Dodoma.

Mwakilishi kutoka CAF Bw. Souleman Hassan Waberi akitoa neno kwa wajumbe wa TFF (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) leo Mkoani Dodoma.

Baadhi wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) wakisikiliza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo leo Mkoani Dodoma. Picha na Genofeva Matemu.

123 thoughts on “Wajumbe wa Kamati Kuu ya TFF Wametakiwa Kuchagua Viongozi Waadilifu na Waaminifu Kuendeleza Soka Nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama