Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wahitimu CoES – UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali

Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.

Meneja wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kati Dodoma, Mussa Kuzumila akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES –UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.

Mkemia toka Ofisi za Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma, Bi. Tupeligwe Mwaisaka akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.

Mmoja wa washiriki wa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini (Bsc. MMPE) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) akichangia mada wakati wa mafunzo hayo jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.

Mmoja wa washiriki wa mafunzo kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini (Bsc. MMPE) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) ambaye pia ni Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Utafutaji Madini Msc. ME, Bi. Dafroza Lyimo akichangia mada wakati wa mafunzo hayo jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.

Meneja wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kati Dodoma, Mussa Kuzumila akiagana na Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES –UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma.

Mkuu wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. William Mwegoha (wa sita toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu kuhusu Usimamizi wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini(Bsc. MMPE) ) toka Chuo Kikuu cha Dodoma (CoES – UDOM) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yameandaliwa na kuratibiwa na Maafisa kutoka Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Kanda ya Kati Dodoma. (Picha na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma).

39 thoughts on “Wahitimu CoES – UDOM Wapewa Mafunzo Usimamizi Kemikali

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama