Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wadau Wakutana Kujadili Changamoto za Biashara

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji (Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira akizungumza katika warsha ya siku moja kupitia ripoti kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS) leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) Bibi. Bella Bird, Mratibu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bw. Simon Hess na Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska. Ripoti hiyo imetokana na programu hiyo inaendeshwa na WTO kusaidia nchini zinazoendelea kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa biashara kimataifa (EIF).

Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska akichangia akiwasilisha mada katika warsha ya siku moja kupitia ripoti kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji(Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira na Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska. Ripoti hiyo imetokana na programu hiyo inaendeshwa na WTO kusaidia nchini zinazoendelea kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa biashara kimataifa (EIF).

Mratibu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bw. Simon Hess akielezea jambo wakati wa warsha ya siku moja kupitia ripoti ya kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS) leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji(Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira na Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska. Ripoti hiyo imetokana na programu hiyo inaendeshwa na WTO kusaidia nchini zinazoendelea kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa biashara kimataifa (EIF).

Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia (WB) Bibi. Bella Bird akielezea jambo wakati wa warsha ya siku moja kupitia ripoti kuhusu hali ya uendeshaji wa biashara nchini (DTIS) leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mchumi Mwandamizi toka WB Bi. Maryla Maliszewska, Mratibu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bw. Simon Hess na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji(Biashara na Uwekezaji) Prof. Joseph Rwegasira. Ripoti hiyo imetokana na programu hiyo inaendeshwa na WTO kusaidia nchini zinazoendelea kukabiliana na changamoto za uendeshaji wa biashara kimataifa (EIF).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama