Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Wabunge Tumieni Michezo Kuimarisha Ushirikiano wa EAC-Majaliwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya Bunge la Burundi muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya timu ya Bunge ya Tanzania .Waziri Mkuu alifungua mashindano ya timu hizo mbili ambayo yamefanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya Bunge la Tanzania muda mfupi kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya timu ya Bunge ya Burundi. Waziri Mkuu alifungua mashindano ya timu hizo mbili ambayo yamefanyika kwenye uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. (Picha na: Ofisi ya Waziri Mkuu)

153 thoughts on “Wabunge Tumieni Michezo Kuimarisha Ushirikiano wa EAC-Majaliwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama