Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

VIDEO- WAZIRI MWAKYEMBE AIPONGEZA NIT KUANDAA PROGRAMU YA MASOMO KWA MISS TANZANIA

2. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zacharia Mganilwa wakati wa mazungumzo baina yao leo Ijumaa Jijini Dar es Salaam kuhusiana na mikakati mbalimbali ya Chuo hicho kwa ajili ya kuboresha tasnia ya mashindano ya Urembo ya Miss Tanzania.(PICHA NA MAELEZO)

1. Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zacharia Mganilwa akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo Ijumaa Jijini Dar es Salaam kuhusu mikakati mbalimbali ya Chuo hicho kwa ajili ya kuboresha tasnia ya mashindano yaUrembo ya Miss Tanzania ikiwemo kutoa ufadhili wa masomo ya uhudumu wa ndege kwa washindi wawili wa mashindano hayo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama