Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ujumbe wa Taasisi ya Head Inc Washington DC–Wanadiaspora

Waziri wa Afya Mhe.Hamadi Rashid Mohamed (kushoto) alipokuwa akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka Taasisi ya Afya ,Elimu ya Maendeleo (HEAD INC) katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Isaa Haji Ussi (Gavu),

Baadhi ya Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka Taasisi ya Afya ,Elimu ya Maendeleo (HEAD INC) wakiwa katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ikulu Mjini Zanzibar walipokuwa katika mazungumzo na Uongozi wa Wizara ya Afya yaliyofanyika leo wakiwa katika ziara maalum hapa Nchini kutembelea maendeleo ya Hospitali za Serikali,

Baadhi ya Madaktari Wazalendo wanaoishi Nchini Marekani kutoka Taasisi ya Afya,Elimu ya Maendeleo (HEAD INC) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa akiongoza mazungumzo baina ya Uongozi wa Wizara ya Afya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Ofisini kwa Waziri, wakiwa katika ziara maalum hapa Nchini kutembelea maendeleo ya Hospitali za Serikali,

126 thoughts on “Ujumbe wa Taasisi ya Head Inc Washington DC–Wanadiaspora

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama