Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Ujenzi Mji wa Serikali ni Usiku na Mchana

: Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akishiriki zoezi la kushusha matofali katika eneo inapojengwa Ofisi ya Wizara ya Nishati wakati akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.

Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akiandika taarifa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Katiba na Sheria alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.

Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akipanda msingi alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Katiba na Sheria wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.

Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akiandika taarifa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.

Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akiangalia maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.

Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe(kulia) akisikiliza maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutoka kwa Mhandisi Suma Atupele wa Vikosi vya Ujenzi ambaye ambao ndio Wakandarasi wa ujenzi wa Ofisi hiyo alipokuwa akifanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma.

Katibu wa Kikosi Kazi cha Kuratibu Zoezi la Serikali Kuhamia Dodoma, Meshach Bandawe akielezea jambo alipotembelea eneo la ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Nishati alipokuwa katika ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Ofisi katika Mji wa Serikali jana usiku tarehe 3 Januari 2019 Ihumwa jijini Dodoma. Kushoto ni Mhandisi Peter Mwaisabula toka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). (Picha na: MAELEZO)

202 thoughts on “Ujenzi Mji wa Serikali ni Usiku na Mchana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama