Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Taswira ya Flyover ya TAZARA Jijini Dar Es Salaam

Muonekano wa njia ya juu (flyover) katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la TAZARA jijini Dar es salaam baada ya magari kuruhusiwa kupita juu yake.
Kufunguliwa kwa flyover hio kumepunguza adha ya foleni kwa kiwango kikubwa kiasi ya kwamba safari kutoka katikati ya jiji hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere hivi sasa huchukua si zaidi ya nusu saa badala ya masaa mawili au matatu ya awali. Picha na Muhidin Issa Michuzi

 

131 thoughts on “Taswira ya Flyover ya TAZARA Jijini Dar Es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama