Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Tanzania Hakuna Ubanaji wa Uhuru wa Vyombo Vya Habari-Majaliwa

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 24, 2108.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia upandishwaji wa bendera ya Umoja wa Mataifa katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 24, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mratibu Mkaazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodrigues katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 24, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 24, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 24, 2018.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali hapa Tanzania katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 24, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mratibu Mkaazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodrigues katika Maadhimisho ya Siku ya Umoja wa Mataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam, Oktoba 24, 2018. Kushoto ni Meya wa jiji la Dar es salaam, Isaya Mwita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

146 thoughts on “Tanzania Hakuna Ubanaji wa Uhuru wa Vyombo Vya Habari-Majaliwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama